24Hours Mix.ni blog ambayo inajihusisha na utoaji wa habari za kijamii.

Habari hizi za kijamii zinaweza kuwa za Kuhabarisha, Kuelimisha, Kuonya na au Kuburudisha ambazo tutakuwa tunazitafuta wenyewe na pia wakati mwingine ku share kutoka kwenye mitandao mingine ambayo inatowa Taarifa zinazo endana na zile ambazo tunakubaliana nazo.

Muasisi/Muanzilishi wa blog hii ni Mtaki Rugina Muyenjwa Gamba, aliye hitimu masoma ya uandishi wa habari na utangazaji mwaka 2012 kutoka chuo cha Arusha Journalism Training College kwa ngazi ya diplama.

Wahusika wengine wanao jumuika kuhabarisha ndani ya blog hii ni Miss Irene Lyimo mwanafunzi wa diploma ya utangazaji ndani ya chuo cha Arusha Journalism Training College pia akiwa ni Miss Arusha Journalism Training College kwa mwaka 2014.

Muyenjwa R Mauli na Maribwa R Mauli wakiwa wahitimu wa digrii kutoka chuo cha SAUTI Mwanza.

Blog hii haijihusishi na ushawishi wa vyama vya siasa, matabaka ya kikabila, matabaka ya kielimu, udini, ujinsia, rangi na au uchumi. Bali inahusika katika kutoa habari na kueleza ukweli juu ya mtazamo sahihi wa kimaisha mbali na kufuatilia matakwa ya mtu binafsi.

Msomaji/Mtembeleaji wa blog hii nivyema kama utaona kitu ambacho sio sahihi kwa jamii basi ukaweza kutoa maoni yako moja kwa moja kwetu kupitia e mail yetu ya mtakimuyenjwa@gmail.com ili tuweze kurekebisha au kutoa ufafanuzi zaidi juu ya mtazamo huo.

Name:

Email *

Message *



Wewe ni wathamani sana kwetu nandiomaana tunasikiliza maoni yako.
Asante.

0 comments: